dala king nitunzie şarkı sözleri

Mashaalha kwangu nakuona kama zare Hewala hiki kiwanja changu kitawale Mapenzi chini kapeti tandaze kwa siti we kaa chini utulie Tena nikupeti peti upate vibisikuti na vijuisi ushushie Tucheze kiutani kiutani,ile michezo ya ficha ndani Nikikupa burudani burudani ukinanga nanga kifuani Tena na sheshe lako fire [Fire] kesho usije nitalaya Usinipage mapenzi yakazidi,ukiondoka utaniacha na baridi We ndie ua langu la waridi Usinipage mapenzi yakazidi,ukiondoka utaniacha na baridi We ndie ua langu la waridi Nitunzie aah moyo wangu mie Nitunzie aah moyo wangu mama Nitunzie aah moyo wangu mie Nitunzie mmhh! Nitunzie nasema moyo wangu mie Nitunzie aah moyo wangu mama Nitunzie aah moyo wangu mie Nitunzie moyo wangu eehh Tusicheze ya gololi,micheo ya daboli itatukoraga sana Tukichunguzana tik tok,facebook,twitter,insta tutavurugana Wale wanoko noko Komesha komesha Vidomo chungu koko Komesha komesha Watatuona soko soko Komesha komesha, aaaiiiee! Yani mtoto uko gudi, tena gidi unavyojitawanya kama moshi wa mawidi Yani mwendo nyekenyeke,nyuma na mbe unavyojitawanya kama moshi wa mawidi Tena na sheshe lako fire [fire] kesho usije nitalaya Usinipage mapenzi yakazidi,ukiondoka utaniacha na baridi We ndie ua langu la waridi Usinipage mapenzi yakazidi,ukiondoka utaniacha na baridi We ndie ua langu la waridi Nitunzie aah moyo wangu mie Nitunzie aah moyo wangu mama Nitunzie aah moyo wangu mie Nitunzie mmhh! Nitunzie nasema moyo wangu mie Nitunzie aah moyo wangu mama Nitunzie aah moyo wangu mie Nitunzie moyo wangu eehh Nitunzie, nitunzie Nitunzie, nitunzie
Sanatçı: DALA KING
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:19
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
DALA KING hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı