dala king shauri yako şarkı sözleri

Bebi amepiga simu anataka yakutolea Na kwangu atatia timu nitume bila kuchelewa Hataki ghetto,hataki nyumba ya kupanga Mombasa joto,kilifi hakuna kiwanja Anataka wababa miiee sitoshi haba Ujaze kibaba futi sita kwa saba Hapa mjini shauri yako,ukitaka vya dezo Hapa mjini shauri yako,eehh dezo Hapa mjini shauri yako,ukitaka vya dezo Hapa mjini shauri yako,eehh eehh dezo Hapa mjini shauri yako, Anataka mali,anataka gari lakifahari kozi ye pisi kali We taka vyote kwa vyote we bora tu udange Akupeleke kokote matopeni kwa mpalange Madada wa mjini mnatuaibisha kifo cha mende chini Mababu kijibebisha Wana umeme stima,wana umeme stima Wana umeme stima,wana umeme stima Piga makofi,piga makofi,piga makofi Kama pisi kali,jemedari, Piga makofi,piga makofi,piga makofi Kama pisi kali,we welijali Anataka wababa miiee sitoshi haba Ujaze kibaba futi sita kwa saba Hapa mjini shauri yako,ukitaka vya dezo Hapa mjini shauri yako,eehh dezo Hapa mjini shauri yako,ukitaka vya dezo Hapa mjini shauri yako,eehh eehh dezo Hapa mjini shauri yako, Zungusha uno kunja dera,aahh wuee mamaa Kata uno ka una chura,aahh wuee mamaa Zungusha uno kunja dera,mame mame mame Kata uno ka una chura,aahh wuee mamaa Zungusha uno kunja dera,kata uno ka una chura Zungusha uno kunja dera,kata uno ka una chura
Sanatçı: DALA KING
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:37
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
DALA KING hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı