damorn ananipenda şarkı sözleri
Siku hizi mapenzi kisirani
Na ya kweli mtihani
Sikuhizi mapenzi kama ligi na Kuna Hazard uwanjani
Ukiwa na pesa utapendwa
Ati babe hio kipara imeweza
Sisi six packs gym inatutesa
Maana ukiwa na kitambi Utatemwa
Ikawa mapenzi staki tena naah Na naah
Kisha nikampata anaye nipenda Sana
Ananipenda, ananipenda mimi
Ananipenda ah
Unconditionally
Niwe mweupe kama Moh
Ananipenda
Ama na kipara kama Moz
Ananipenda
Nicheze chini ki likobe
Ananipenda
Niwasumbue kama Pozze
Ananipenda
Nitoe tint kama Jones
Ananipenda
Nipite exams kama Joho
Ananipenda
Niwe na kizungu ya Waititu
Ananipenda
Nijoin ligi ya wazito
Ananipenda
Ananipenda, ananipenda
Ananipenda, ananipenda
Ananipenda, ananipenda
Na si kujichocha ni kuamini
Kama alinifia ata simama ju ya Mimi eh
Na ju ako juu niko chini
So I understand vita sio yangu Mimi
And because he died for me
I know he will fight for me
So i wrote this symphony
To share what he has done for Me
Niko na eternal warranty
Baraka guaranteed
Goodness and mercies follow Me
You see me, see me walk in Victory
Ananipenda, ananipenda mimi
Ananipenda ah
Unconditionally
Niwe mweupe kama Moh
Ananipenda
Ama na kipara kama Moz
Ananipenda
Nicheze chini ki likobe
Ananipenda
Niwasumbue kama Pozze
Ananipenda
Nitoe tint kama Jones
Ananipenda
Nipite exams kama Joho
Ananipenda
Niwe na kizungu ya Waititu
Ananipenda
Nijoin ligi ya wazito
Ananipenda
Ananipenda, ananipenda
Ananipenda, ananipenda
Ananipenda, ananipenda
When the world saw my Weakness you came to my Defense
Cupid shot with a cross tell the Devil it's too late
Ju ya dhambi zangu nilistahili Kudedi
Yesu akanifia sa ya nini tu Debate
Let me dance ju
Ananipenda, ananipenda
Ananipenda, ananipenda
Ananipenda, ananipenda