damorn beast over şarkı sözleri
Ulivyo kubali nitumike
Hauta kubali niaibike
Hoja langu usifike
Moyo uridhike
Iwe sina taa ama kibatali
Wewe ndio nuru gizani
Nimepata mapenzi hatari
Haki ya Nani umeniweza roho
Nimepata peace na ni beast over
Yesu Kwa wafelme ni beast over
Wacha upewe sifa beast over
Kwa yote unimenipa
Na siogobi binadam
Nimefunikwa dam
Nisina taabu
Umefanya maajabu
Ulivyo niseti ni miliki Dar
Wanatuona zenji tukila Raha
Wale walosema nimechaka
Ati bila senti siwezi ngaa..
Iyani konki baraka huwezi Analyze
Kwako si songi ka tab huwezi minimize
Moyo huchoki ju pia ulisha tenderize
If your thinking I'm joking I'll live to change Your mind
Naishi na spirit flesh ali euthenise
Natena siwapimi in darkness mi ndio light
Kutesa siringi ju ni Nisha realize
Kama kutesa ni success yesu ndio line
Iwe sina taa ama kibatali
Wewe ndio nuru gizani
Nimepata mapenzi hatari
Haki ya Nani umeniweza roho
Nimepata peace na ni beast over
Yesu Kwa wafelme ni beast over
Wacha upewe sifa beast over
Kwa yote unimenipa
Umenilinnda Kwa ma fedheluli
Ukaondoa moyo jeuri
Ombi langu nikujue vizuri
Nipo kama jengo umeezeka unijenge
Nipe tempo tuende
Kwako Yesu nisitoke milele
Kwa Pendo lako nazamia
Nazamia zamia na zamia Yesu
Staki niwe bandia
Bandia bandia
Nisaidie yeah
Iwe sina taa ama kibatali
Wewe ndio nuru gizani
Nimepata mapenzi hatari
Haki ya Nani umeniweza roho
Nimepata peace na ni beast over
Yesu Kwa wafelme ni beast over
Wacha upewe sifa beast over
Kwa yote unimenipa