damorn deka deka şarkı sözleri
Uwoo oh oh oh oooh!
I thank God for you my baby yeah, yeah yeah yeah yeah my baby
Mwanzo umeniwahi wahi
Ishara ya kwamba maombi ansikia
Baba alisha tia right, mmmhhh!
Mama kutwa anakusifia
Nimekuchagua wewe
Nitembee na wewe
Watoto nizae na wewe
Nikifa nizikwe na wee
Like a fool I have fallen for you my love
Waache waote my heart belongs to you
Hukufwata wenye benzi ma
Ulinichagua niwe mwenzi ma
Hii Pete nakupa mbele ya mwenyezi ma
Wote wajue navyo kuenzi ma
Nakupenda
Leo na Kesho ntakupenda zaidi
Punguza pressure
My heart belongs to you
Eeh! Nakupenda
Leo na Kesho ntakupenda zaidi
Punguza pressure
My heart belongs to you
Mtoto wangu we
Deka Deka
Nikudekeze udeke my baby
Deka Deka
Milele ni Mimi na wewe baby
Deka Deka
Nikudekeze udeke my baby
Deka Deka
Milele na wewe
Sina pesa ya dangote na damu ya Kenyatta
Kwangu utake chochote
Basi Kesho utakipata
Nizae na we ya Rabii chonde
Atushushie baraka
Ili usikose chochote
Mwenzio ntajikaza, ntang'ang'ana baby
Ntajikaza baby, yeeeeh, yeyee, yeah yeah yeah yeah
Like a fool I have fallen for you my love
Waache waote my heart belongs to you
Hukufwata wenye benzi ma
Ulinichagua niwe mwenzi ma
Hii Pete nakupa mbele ya mwenyezi ma
Wote wajue navyo kuenzi ma
Nakupenda
Leo na Kesho ntakupenda zaidi
Punguza pressure
My heart belongs to you
Eeh! Nakupenda
Leo na Kesho ntakupenda zaidi
Punguza pressure
My heart belongs to you
Mtoto wangu we
Deka Deka
Nikudekeze udeke my baby
Deka Deka
Milele ni Mimi na wewe baby
Deka Deka
Nikudekeze udeke my baby
Deka Deka
Milele na wewe

