darassa yumba şarkı sözleri
Yumba eh Yumba ie Darassa and KondeBoy
(255 Champion boy, Classic) Yumba, Yumba
Aga nikiwind my beiby
Jipinde pinde kama a nyoka
Pinda mugongo nibebe
Nisije nikadondoka
(Oh nah nah nah nah)
Njian napitapita samahan sister
Macho kama unaniita imekolea shisha
Mwaga mapichapicha yasambae inster
Yani kesho kukicha Jana kama vita
Suruali pale viatu kule
Usilale lale kaa mkao tule
Njoo tukufunze kozi ambazo huwezi kupewa shule
Njoo nikutunze baby huwezi kufanya kazi ya bure
Ukiwa na King agiza tu utaletewa
Ukiwa queen kwenye joto utapepewa
Jiongeze jiongeze nishanogewa
Napenda kuyumba yumba nishalewa Nasema baby apo kati,
Baby apo kati, baby apo kati, Ata mabubu wanatoaga sauti
Baby apo kati, baby apo kati Hata jambazi sugu linapigaga saluti I say Stop!
Twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba)
Akiwa karibu unamkumbatia(Yumba Yumba)
Eeeh twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba)
And I say(Yumba) Aliyekaribu unakamatia(Yumba Yumba)
And I say(Yumba) Oh nah nah nah nah Funga funga mishikaki Funga no paki
Funga funga mishikaki Funga no paki
Rhumba takitaki Dole gumba hapi
Yumba juu, nyumba chini, Yumba katikati Yumba yumba mwili kama umelegea nati
Samahani namba unayopiga haipatikani
Kama umepoteza uliza Google watakupa ramani
Kama una chuki ota mbawa upae angani Au pasua ardhi uingie ukae ndani
Bado nawagongea gongo Nakomalia mchongo,
Nawashushia vigongo Umevalia usongo, wa mangoma msondo,
Eh eh uongo anajua Mungu mwenye mbingu ardhi na udongo
Mzee kasema sesema Gosha mperampera
Nambeba Sanchoka Na nyuma kashafunga tela
I say baby apo kati baby apo kati
Hata mabubu wanatoaga sauti
Baby hapo kati baby hapo kati
Hata jambaz sugu linapigaga salut (I say stop)
Twende taratibu kama unasinzia yumba
Ukiwa karibu unakumbatia
Twende taratibu km unasinzia yumba
A And I say (Yumba) vile karibu unakamatia
And I say (Yumba)
Oh nah nah nah nah
Oh amechanganya Cush na nyagi kalewa wamembeba
(Anatokaje?)
Alijifanya mjuaji kumbe mimba haitoki leba
Itakuaje
Giza Giza mama totoro
Nishaagizagiza chumba godoro
Nitalizaliza mpaka tomorrow
I say stop! Twende taratibu kama unasinzia

