dareal young el mang'aa (feat. dr monte) şarkı sözleri
Mbota nadunga, time sinanga
Madem na lenga, na sina mmoja
Wallet natupa, pesa na sunda
Cv natuma buh works nalenga
Sahani ndo sina, Chakula ninayo
Kwako ni poison, kwangu chakula
Mambo ni moto, vitu baridi
Daraja hakuna, bado navuka ey
Mi ni mang'aa, ah
bado na ng'aa, ah ah
Me ni balaa, ah
Ndo venye inafaa, Ah
Ki Kijana ni bad man
AnAkwanga mad class eh
Ndo venye inafaa
Kiburi balaa
Naleta kajoto, Waingie njeve
Kiti kadogo, buh cheo ni kubwa
Meza ni kubwa, viti ni chache
Grind manight kulala mangware
Thegi kukaa na karao how?
Msanii kumurder the crowd how?
Naivisha na mi si mpishi.
Mnaivisha na nyi si wapishi
Sahani ndo sina Chakula ninayo
Kwako ni poison kwangu chakula
Mambo ni moto vitu baridi
Daraja hakuna Na bado navuka ey
Mi ni mang'aa ah
bado na ng'aa ah ah
Me ni balaa, ah
Ndo venye inafaa, Ah
Ki Kijana ni bad man,
Ankwanga mad class eh
Ndo venye inafaa
Kiburi balaa
Nimpole but bado hatari
Farasi ni kama ferrari
Pennywise na manoti
Mngori kapatwa kwa ngori
Anachai na hanoni, hoging
hanachai na hakondi, Stingy.
Hana crime but guilty
Kisiagi joh bado ni grind
Ulafi si kama tamaa.
Baba apa
Waschana wazuri
Hawana uzuri
Wavulana wabaya
Mifuko ni nzuri.
Mbota nadunga time sinanga
Madem na lengaNa sina mmoja
Wallet natupa pesa na sunda
Cv natuma buh works nalenga
Eh...
Mi ni mangaa ah
bado na ngaa ah ah
Me ni balaa, ah
Ndo venye inafaa. Ah
Ki Kijana ni bad man.
Ankwanga mad class eh
Ndo venye inafaa
Kiburi balaa

