dauda walker asante (feat. jonathan) şarkı sözleri

Mungu wangu Nasema asante kwa wema wako Kwa maana fadhili zako zadumu Milele na milele amina Nasema asante Mungu wangu Umungu wako Umungu wako Nasema asante kwa mungu wangu Nasema asante kwa wema wako Kwa maana fadhili zako zadumu Milele na milelele amina Nasema asante Mungu wangu Umungu wako Umungu wako Nasema asante kwa Mungu wangu Nasema asante kwa wema wako Nita imba sifa zako mbele ya watu wote Nita imba sifa zako mbele ya watu wote Kwa maana fadhili zako zadumu Milele na milelele amina Nasema asante Kwa ô bi kw ô bi kway, sotumaini kode ôde Kwai nër O' Shitunapitana kukwamb'e sivin'le shokwanange isi tutak'o Tuakangize viote kisa onipsik'o takuta Mia kode utapitana itikitumba kode unanituwakakwaiii Nasema kwa mungu wangu Nasema asante kwa wema wako Kwa maana fadhili zako zadumu Milele na milele amina Nasema kwa mungu wangu Nasema asante kwa wema wako Nasema kwa mungu wangu Nasema asante kwa wema wako kwa maana fadhili zako zadumu Milele na milele amina Nasema kwa mungu wangu Nasema asante kwa wema wako Nasema kwa mungu wangu Nasema asante kwa wema wako
Sanatçı: Dauda Walker
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:34
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Dauda Walker hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı