davakonofficial mwangaza (feat. king dave) şarkı sözleri
Mwenyewe ulisema
Ombeni mutapewa
Tafuteni mutapata
Pisheni mutafunguliwa mlango
Ah eeeh
Usi niatchiliye
Bila wewe sitoweza
Wendo wangu muangaza
Bila wewe naona giza giza eh
Yesu wangu wendo Mwangaza
Mwangazaaa eh
Bila wewe naona giza
Yesu wangu wendo Mwangaza
Mwangazaaa eh
Bila wewe naona giza baba
Baba baba baba
Minakuja mbele zako
Minaomba musaha ahah
Ikiwa nizambi ndo
Inanibana
Ikiwa ni mapepo ndo
Inanifunga
Nakuomba nishindaniye baba
Hakika bila wewe misito weza
Nionyeshe mwanga
Nione njia
Maana mina kuamini baba
Mwenyewe ulisema
Ombeni mutapewa
Tafuteni mutapata
Pisheni mutafunguliwa mlango
Ah eeeh
Usi niatchiliye
Bila wewe sito weza
Wendo wangu muangaza
Bila wewe naona giza giza eh
Yesu wangu wengo mwangaza
Mwangaza eh
Bila wewe naona giza
Yesu wangu wendo mwangaza
Mwangaza eh
Bila wewe naona giza baba
Bila wewe naona giza giza
Uki niatcha ndaumiya
Wendo wangu muangaza
Baba wendo wangu musaada eh
Baba simama
Angaza nuru tusiangamiye
Tufike salama
Adui wetu nawashuhudiye
Mwangaza
Yesu wangu wendo Mwangaza
Bila wewe naona giza
Yesu wangu wendo Mwangaza
Bila wewe naona giza baba
Niokowe baba
Niokowe
Ungali ule ule baba
Ule ule
Vile uliokowa wana israeli
Baba namimi niokowe
Vile ulivyo biganiya danieli
Baba namimi nipiganiye
Baba simama
Angaza nuru tusiangamiye
Tufike salama
Adui wetu nawashuhudiye

