ea gvng mama şarkı sözleri

Mama mama wanipa raha Mama mama wanipa raha Ananichanganya mrembo kweli tele Urembo wake unakata kama wembe Nisipomwona nashikwa na mawele Nahuzunika i wanna see you baby Mama mama wanipa raha Mama mama wanipa raha Never ever could get over you I make missions just to get to you boo If I left everything for you Would you show me what I mean to you boo I no longer wanna wait Girl, you are my holiday I no longer feel okay Girl, you are my rainy day Mama come let's run away Make I love you all the way Toxicity love and hip hop Yosemite I bang and be gone Proximity to me is lethal Little shorty got me gone gone gone Come and hang with the EA dons Young jiminies is catching on Ananichanganya mrembo kweli tele Urembo wake unakata kama wembe Nisipomwona nashikwa na mawele Nahuzunika i wanna see you baby Ananichanganya mrembo kweli tele Urembo wake unakata kama wembe Nisipomwona nashikwa na mawele Nahuzunika i wanna see you baby Pressure Pressure Kwenye dance floor baby anatesa Nikimkamata najua ntamweza Nipe skio nikuuzie sera Rangi ya kiafrika na sura ya picha Kiuno yaniita Tangaza kwenye twitter Sitasitasita Mimi naitika I wanna give you my love baby Kuja dogo dogo you got me going crazy EA GVNG twapenda kuchachisha Kuwakunja Kama rizzla skiza Yule mwenye kiuno ndogo namtamani Mami ywatoka East Africa Namtamani Namtamani Ananichanganya mrembo kweli tele Urembo wake unakata kama wembe Nisipomwona nashikwa na mawele Nahuzunika i wanna see you baby Ananichanganya mrembo kweli tele Urembo wake unakata kama wembe Nisipomwona nashikwa na mawele Nahuzunika i wanna see you baby
Sanatçı: Ea Gvng
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:44
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Ea Gvng hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı