easy tz fall inlove şarkı sözleri

Yeah, it's easy This song is for you, baby Come on yeah Sijawahi penda kama hivi Toka niyajue mapenzi Kuna namna you make me feel Kuelezea siwezi Nita kushitaki kwa polisi The way you drive me crazy Hatari kwa usalama You drive me bila license Nahisi kama umeniroga Nizidi kukupenda Ndo mana nakupenda vibaya Nirijaribu mara moja Utamu ukanoga Ona sasa nataka tena Utamu kolea Penzi lako limenizidia Ushauri sitaki sikia Nakutaka wewe tu Kwako ni mefoli in love Sioni sisikii Siambiliki Kwako ni mefoli in love Mwenzako oi, oi Bila wewe aki sitoboi Kwako nimefoli in love Kwako nimefoli in love Siku moja bila wewe onanana Kama mwaka naona Kama ingewezekana Popote uwendako tungefatana Baby mimi kwako nyanga-nyanga Mwenzako nakutaka sana-sana Sijuhi umenipa nini Nimekuwa chizi mpenzi Yani dududu Mapigo ya moyo yako jujuju Baby mimi kwako fala zuzuzu I love you Sugar sugar sugar sukari yangu Chunga chunga mama niwe peke yangu Uzuri wako una nipaga wivu I love you Nahisi kama umeniroga Nizidi kukupenda Ndo maana nakupenda vibaya Nilijaribu mara moja Utamu ukanoga Ona sasa nataka tena Utamu kolea Pezi lako limenizidia Ushauri sitaki sikia Nakutaka wewe tu Kwako ni mefoli in love Sioni sisikii Siambiliki Kwako ni mefoli in love Mwenzako oi, oi Bila wewe aki sitoboi Kwako nimefoli in love Kwako nimefall nimefall Nimefoli love Nimefall in love
Sanatçı: Easy Tz
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:35
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Easy Tz hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı