ebby kush nani angesimama şarkı sözleri

Nani angesimama ,nani angesimama Nani angesimama nani angesimama Mbele zako zako zako Bwana Mbele zako zako zako Bwana Nani angesimama ,nani angesimama Nani angesimama nani angesimama Mbele zako zako zako Bwana Mbele zako zako zako Bwana Eee ahaaaaa Katikia Yesu tu kidogo Mungu ni mwema ,tena mwenye huruma Amejaa rehema,hakasiriki ovyo Fadhili zake Kweli niza milele Hunitia changamoto Kwa neno lake Kama angehesabu Maovu yetu kama angehesabu Maovu yetu Ninani angesimama kwa ajili yetu Jiulize Nani angesimama ,nani angesimama Nani angesimama nani angesimama Mbele zako zako zako Bwana Mbele zako zako zako Bwana Nani angesimama ,nani angesimama Nani angesimama nani angesimama Mbele zako zako zako Bwana Mbele zako zako zako Bwana Eee eee Akamwambia Nuhu Hii ni anagano langu Na pia vizazi Uzao bada yenu Kamwe uhai Hautofutwa tena ee Kwa garika kwa garika yoyoyo... Kwa garika Kwa garika yoyoyo... Wakati wowote upinde wa mvua Unapotokea juu mawinguni Nitauona Nami nitakumbuka ee Agano langu eee Agano langu eee Eeee tunapendwa na Mungu Twende Nani angesimama, nani angesimama Nani angesimama, nani angesimama Mbele zako zako zako Bwana Mbele zako zako zako Bwana Nani angesimama ,nani angesimama Nani angesimama nani angesimama Mbele zako zako zako Bwana Mbele zako zako zako Bwana
Sanatçı: Ebby Kush
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:49
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Ebby Kush hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı