ebebé jamal kitu (zzuanga style) şarkı sözleri

Yeah, Wengi wameshapoteza nia kwa mtaa Mwengine akijitupia hawezi kaa na njaa Kichwa kibovu akajipakia ndio ataganga njaa Marley alishaisifu ni Zaidi ya kushinda Bar, Kijana chunga sana fanya hii kitu kwa ufasaha Mjeshi gani huzama vitani bila silaha Hii kitu sio haina maana punguza tamaa Sio kila unachokiaona ni sahihi kuzimia taa Alishasema baba Akarudia mama Ilikuwepo toka zama Chunga sana maji ya moto yasiunguze ujana. Hii kitu hii kitu hii kitu Hii, Ndio imewafanya miiko hawaithamini Hii kitu hii kitu hii kitu Hii, Ndio chanzo cha matatizo ya jamii Hii kitu hii kitu hii kitu Hii, Ndio imewafanya miiko hawaithamini Hii kitu hii kitu hii kitu Hii, Ndio chanzo cha matatizo ya jamii Ramani ipo wazi ndani ya jumba la Sanaa, Shika lako utimize kitachokufaa, Hawa hana amana nnje wanyama wakali, Imani kaitupia mbali, Kama umebugi ukajiwahi usijutie msamaha Maisha ya mtaani hayacertify mjini ushangae Na bibi nyumbani wanasubiri ugali, Je alaumiwe nani Jipe moyo kaza Usitegemee msaada, Kama kigingi panda, Chunga sana unayofanya kwa jaa yanaonekana Hii kitu hii kitu hii kitu Hii, Ndio imewafanya miiko hawaithamini Hii kitu hii kitu hii kitu Hii, Ndio chanzo cha matatizo ya jamii Hii kitu hii kitu hii kitu Hii, Ndio imewafanya miiko hawaithamini Hii kitu hii kitu hii kitu Hii, Ndio chanzo cha matatizo ya jamii Hii , Hii ,Hii Ndio chanzo cha matatizo ya jamii
Sanatçı: Ebebé Jamal
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:34
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Ebebé Jamal hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı