ebebé jamal aibu şarkı sözleri

Aibu aibu aibu aibu wanatuonea aibu Aibu aibu aibu wanatuonea aibu Aibu aibu aibu wanatuonea aibu Aibu aibu aibu wanatuonea aibu Wamefume Hawatumudu Game Ngumu Maskoff Tunadumu BBN Bongo Bahati Nzuri Juu BBM Bongo Bahati Mbaya Buu Wanatuzoom Wanatuzoom Hatuonekani Chini Kumbe Tupo Juu Wanahujumu Wanahujumu Wanahujumu mchezo Refer yupo Cool Wanalahumu Hawavuti Pumzi Tukifanya yetu tunawabuguzi Kazi kazi Haturushi Ngumi Ngazi kwa ngazi Mongi Records Kampuni Wanaperuzi wanaperuzi Kwenye Page zao sisi ndio bad News Mtani wakombozi Kwao wachokozi Chetu tukidai wanatutanulia Body Aibu aibu aibu wanatuonea aibu Aibu aibu aibu wanatuonea aibu Aibu aibu aibu wanatuonea aibu Aibu aibu aibu wanatuonea aibu Hahaha! Mongi Records Zamu yetu Ipo Live Tayari tupo Online Mikataba Tusign Tutusue Kiulaini Wako Wapi Wanaotamani Tukosee Tupigwe Fine Tufulie Tukose Amani Tupotee Kwenye Ramani Aya, yah Tayari Tupo Uwanjani Aya, yah Simu wamechange Line Tuwapigie Hawapatikani Sasa Tufanyeje Tuwaibukie Haijulikani Wapi wanapoishi Tuwazukie Haiwezekani Achana nao Tukaze kamba Tuendelee kupiga Bao Ulinzi tunao Mikuki na Ngao Ushindi taswira yetu hatuchezi foul Wakikamatia chini tunadeal nao Mwaka huu wao Hakuna chao Achia Body kama wewe ni Timu Mabao Sogea Pembeni Wewe ni Timu Mshangao Achia mikono wewe ni Mtafutaji Town Kaa Pembeni wewe ni Mzururaji Mtaani Sogea Karibu Anza Kuwahesabia Mafao Rudi ukasake kama hauna hata pound Kaa Kushoto Umemeza Mbegu ya Mazao Majembe yangu Ndio Nayoenda Sawa Nayo Aibu aibu aibu wanatuonea aibu Aibu aibu aibu wanatuonea aibu Aibu aibu aibu wanatuonea aibu Aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Sanatçı: Ebebé Jamal
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:56
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Ebebé Jamal hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı