ebebé jamal finalize şarkı sözleri

Yeah, Ebebe Ebebe Braxy Walizani tunatry Kumbe tunafinalize Yeah, Ooh no no no no Walizani tunatry Kumbe tunafinalize Yeah,Yeah, aah Suprize tunaziplus hatuminize Kama mchezo uwanjani huwaga twaplay Nice Wanaongea hatuzingatii tunaroll dice Umoja kwetu nguvu hatutengani till we die Tunavyoangaika na haya Maisha Kama cinema Na bado wanachukulia poa ila si vyema Mimi na wanangu huwaga hatumind Chuki tunazisahau vicheko twavirewind Tunapolala amani tunapoamka amani Hatupoteani hata utushikie gun Wanaongea mtaani, si hatuna habari Ok we unatag mimi na wanangu company Tunapotoka mbali, tulipo sio zari Tunapoenda mbali ngumu kufika ata uwe na gari Wanatupa visogo ila tunawajua Wanachafua logo kumbe wanatuinua Walizani tunatry Kumbe tunafinalize Yeah, Ooh no no no no Walizani tunatry Kumbe tunafinalize Yeah, Ooh no no no no no Walizani tunatry Kumbe tunafinalize Yeah, Ooh no no no no no Walizani tunatry Kumbe tunafinalize Yeah Braza tupo serious braza tupo serious Na Kama haupo serious kamwe hatuitaji ubia Tunasaka rupia ndio maana tumepania Wanakosaga amani tunapozichenji gia Kufa au kuzimia, Tumetia Nia Wanakula Kona si tunakula beer Tunavyozibugia, usije ukatualibia Mlango tuliotokea sio tulioingilia Na wanavyotubania tunatoboa hawana idea Tupo kwenye vikao vya kusldiscuss tasnia Wanatukazia wanatuhofia Tutawachezesha samba ndoto zitapotimia Ukipata wanawahi tangaza eti walikusaidia Wangekuwa wanagawa riziki hata sumni wasingetugaia Walizani tunatry Kumbe tunafinalize Yeah, Ooh no no no no Walizani tunatry Kumbe tunafinalize Walizani tunatry Kumbe tunafinalize Yeah, Ooh no no no no Walizani tunatry Kumbe tunafinalize Watu wabaya association Ubaya ubaya wanangu congratulations Chimo Sound Braxy
Sanatçı: Ebebé Jamal
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:08
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Ebebé Jamal hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı