Ebebé Jamal

Napata Raha Rmx (feat. Ankiz, KJ Tripple)

ebebé jamal napata raha rmx (feat. ankiz, kj tripple) şarkı sözleri

Naf Yeah You Know What Remix Mongi Records Yeah This is the Remix Man Wangejua long time, wasingeleta pozi Wangechangamka kutusua ila wamepata loss... Walitaka wasiwe ndembe yanini wachezee koki Wanaleta za Tom and Jerry bongo Joti, Mpoki Kuzaliwa mtaani, aimanishi una mkosi, ah ah.! Ukijifungia ndani, kwa mungu Piga goti. ah.Ah.! Ukiwa chocho za mtani,hakiki mifuko ina noti Kuna wanaovimba mtaani na msosi wanaunga doti. Ha, ha.! Nasaka dough... sina pozi... ndio maana... nipo race mtani Wanaona soo... ninavyoflow... nipo seriuz na sio funny... Kuwa goi nasema no,na siji ilaumu serikali Lakini form four wewe ni high learning na unakaa nyumbani Pumzi visa, uhai leseni naona mwanga sio kiza Wamenipa visa wamenipa visa,braa, braa Swaga nyingi haters wanadai nimepitiliza Wamenipa visa wamenipa Visa, ha, ha, ha ha.! Mimi nina mi ninapiga flow Mimi nahastle nipate dough yeah Nakaza Mi navuja jasho nipate kula nishike salary yeah Life hainicontrol, kwangu ina bao bila Mikazo Yeah Kimbiza mbiza mi nafanya leo Ugali kesho ni wali, yeah.! Napata Raha, napata Nataka Raha Life is so Good, napata raha Nahastle ili nipate raha, hastle Napata Raha, napata Nataka Raha Life is so Good, napata raha Nahastle ili nipate raha, hastle Nahitaji muda kwa hakika Sitopenda sink kwenye weed ama liquors Sitaki use a lot of energy niimbe mautumbo nitafeli kabisa Kama nikikata tamaa wadogo kwangu watakata mauno hadharani This is not funny That's how the game goes for the fame sio utani yeah You have my number not my attention don't get confused You tried to hate you've failed You like the things I do Too many calls and texts Yooh nigga nani you Blunt stoner? Naf call the cops He's selling ndumu Hustlers never give up chozi la mnyonge huleta bao la ushindi Muziki kifikra ni ngumu league Hatua ya makundi ni studio Mtoano ni kwa radio Robo final Acapella bro Nusu final your performance yooh And your final mapokezi yeah Mimi nina mi ninapiga flow Mimi nahastle nipate dough yeah Nakaza Mi navuja jasho nipate kula nishike salary yeah Life hainicontrol, kwangu ina bao bila Mikazo Yeah Kimbiza mbiza mi nafanya leo Ugali kesho ni wali, yeah.! Napata Raha, napata Nataka Raha Life is so Good, napata raha Nahastle ili nipate raha, hastle Napata Raha, napata Nataka Raha Life is so Good, napata raha Nahastle ili nipate raha, hastle Mongi Records Hastler
Sanatçı: Ebebé Jamal
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:32
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Ebebé Jamal hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı