ebebé jamal niache şarkı sözleri

"Niache" Brother Naomba niache "Niache" Niache "Niache" Brother Naomba niache "Niache" "Braxy on" Niache "Niache" Brother Naomba niache "Niache" Niache "Niache" Aisee Yeah "Niache" Pisi kali imenielewa ukaniona nimeondoka nayo Ila hujui kilichotokea brother Niache, "Niache" Sio lazima usimulie kama uliona inatosha Usinichoshe sinto kuchosha brother niache, "Niache" Sasa ndio unifokee, kisa umepiga simu alafu sipokei Au ume umeweka appointment alafu nikadelay Na nikiwa busy je? niache yangu nifate yako bro "Niache" Hawajui Nilivyopania kwenye Njia mimi nina Nia Sasa kwanini wananizuia Alafu Waniache "Niache" Nikiwa less Mtaani, naangaikia msosi mezani Usiniingile nitakukwaza brother Niache Haters wanasema ninajidai Kila ninapotimba pande zao hawafurahi My feelings na hizi shauzi zipo high Kwa ninavyowasomba somba wanatamani Mnyamwezi nidie Nidie nidie wanatamani mnyamwezi nidie Nidie? wakati ninadai na na nazidi kuroll the dice "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" Aise Niaje, Aise Niaje Ona muna maneno yanachoma Zaidi ya miale Aisee mniache, aise mniache Nishakanyaga mafuta speed zaidi ya ferari Wala hamunipati, Bisha munifate Wanaonilinda wote wanaijua Karate Mpaka mnipate, brother mjipange Tagi ninalo Serikali kila Upande Mguu usawa baada ya mguu upande Mpira ninao siuachi kama Zidane Wanangu wanavibegi Vina Vitu Fulani Na Wote wanatusua aisee labda muwabanie Haters wanasema ninajidai kila ninapotimba pande zao hawafurahi My feelings na hizi shauzi zipo high Kwa ninavyowasomba somba wanatamani Mnyamwezi nidie Nidie nidie wanatamani mnyamwezi nidie Nidie? wakati ninadai na na nazidi kuroll the dice "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" "Niache" Ahhh! "Chimo on the Track"
Sanatçı: Ebebé Jamal
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:48
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Ebebé Jamal hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı