ebebé jamal njaa (feat. olsenthepianoman) şarkı sözleri

Wanasema tuna njaaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa.. Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Wanasema tuna njaaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Vijana hawapigi kazi Wakipata wanaza mavazi Vizazi mpaka vizazi... Unatuaribu utandawazi... Mtaani wanabweteka facebook,insta zimewateka... Hekari juu ya hekari za shamba zinateketea ....ahh Atuoni soo.suruali chini ya makalio Binti anatafuta umaarufu viungo wazi wazazi vilio... Mfukoni hakuna salio Vyuma havilainiki tunajutia huu ujio Hapa kazi tu Ukibisha sema suu Muda si mrefu utauza baiskeli utembee kwa miguu... Mwanafunzi heshimu boom Baba mkopo usihujumu... Nyumba itapigwa mnada utafute nani wa kumlaumu.... Mmh..! Mh..!Mmhh....mhh... Wanasema tuna njaaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa.. Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Wanasema tuna njaaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Stuka amka wake up Weka fuba la kutosha kwa Mkeka Lia vumilia kesho unacheka Wengine wanapatana wengine wana Break Up Wake Up. Wash Up. Rise Up and shine bright oh yeah Pambana mdogo mdogo tu utasogea Wengine wako Single wengine wako Pair Kila Time napigika maisha Hayako Fair Maisha Ya kiswazi Mswaki tunashare Ndala Kitu gani Peku natembea Tangu chekechea tunajitegemea Ila hatukati Tamaa. Siwezi kulala Njaa Bila mabawa napaa Baraka Nyingi From Jah Ukiniona Kama Kichaa Piga Picha Kesho am The reachest Still Young Siwezi Kuacha mishe mishe ni Addiction! Siwezi Kuacha mishe mishe ni Addiction! Wanasema tuna njaaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa.. Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Wanasema tuna njaaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Wanasema wanasema tuna njaa... Sio kweli Sio kweli Sio kweli
Sanatçı: Ebebé Jamal
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:58
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Ebebé Jamal hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı