ebenezer mwabenga ametenda şarkı sözleri
Bwana amenipa sauti Nimuimbie ninamuimbia
Mungu wangu aliye juu kanitoa Kwenye mauti nisiingie Ninajivunia kuwa ndani ya Baba Tu
Upendo wako kwangu Daima Ni wa milele hujaniacha Yesu Hujanitupa bwana thamani hii Ninayopata siku zote
Umeniweka huru we Nitakushukuru
Embu imba kidogo jisembeze Sifu kidogo jisembeze cheza Kidogo jisembeze ruka ufurahi Embu ringa kidogo jisembeze Tabasamu kidogo jisembeze Weka mikogo jisembeze kwake Ujidai
Maana Mungu wangu Ametenda ametenda ametenda Ametenda baba yangu
Ametenda ametenda ametenda
Ametenda Mungu wangu
Ametenda ametenda ametenda
Ametenda baba yangu
Ametenda ametenda ametenda
Amenipa ushindi amenikirimia Pale niliposaka sana yeye toka Vilindini nilipomlilia amenipa Baraka bwana
Amenibariki wakati wa shida Na dhiki nilipomuomba ye Amenitimizia sitachoka kusema Asante sitasahau kushukuru
Sababu ananipenda sababu Ananijali bwana Jehovah Wangu