ebenezer mwabenga unatosha şarkı sözleri
Yeah iyeah iyeah eyo focky kill Them iyeah yeah yeah yeah Nakuja mbele zako ili Kukueleza unatosha sana katika Maisha yangu bwana wanipa Furaha na faraja tele unaondoa Karaha sina wasi kwere siku Zote nitashukuru(iyeah Ieah)kwa kuwa unaniweka Huru no no no
Tena sitasahau kwamba wewe Unanionesha njia naaa pia Sitaudharau upendo wako we Unaonikirimia
Unatosha bwana unatosha Bwana unatosha bwana Unatosha bwana unatosha Bwana
Nyakati za huzuni umeleta Tabasamu umenifuta machozi Kuwa nawe lazima nijivunie Akili yangu duni umeipa Ufahamu umekua mwokozi wa Dira na pia maisha yangu mie Siku zote nitashukuru kwa Kuwa unaniweka huru no no No
Tena sitasahau kwamba wewe Unanionesha njia naaa pia Sitaudharau upendo wako we Unaonikirimia
Unatosha bwana (aaaah iyeah Aaaah iyeah iyeah)Unatosha Bwana( aaaah iyeah aaaah Iyeah)unatosha Bwana( aaaah Iyeah aaaah iyeah)unatosha Bwana (aaaah iyeah aaaah Iyeah)Unatosha bwana
Unatosha bwana kwenye elimu Yangu Yesu kwenye biashara Yangu yesu kwenye kazi yangu Bwana kwenye mateso yangu Yesu kwenye raha zangu yesu Majaribu yesu unatosha bwana
Kwa wazazi wangu yesu familia Yangu bwana marafiki zangu Yesu unatosha unatosha Unatosha bwana na Fu

