el mbuyu daddy pumper şarkı sözleri

(MBUYU x6) (MAJOR) Eyyy, eyyy, eeey Ni Mbuyu Eyyyy, mmmh (Nikiwa na Mbuyu backleft tunaivisha) Wanadai smoke nina indica My baby be so hot check her temperature Figure number nane yaani coke figure Yoh pass dat kush mi don't wan liquor Wa-wanaburn bush wamekuwa Musa Wanadai zimeshika wanadai kushuka Rasta-jihad nipe nare mi najilipua Broad day all day mi najisetua ahh Niliambia warazi watannikoma Pia pia pia njia tu ni moja (aah aah aah aah) Either colo ama kofi ntakuchoma (wewe) Nyi madanda nami nilishawasoma (wewe) Wamebonda juu dame zao niliwachota (haha) Inawauma zaidi juu nilikuwa nimesota (sota) Sasa sai sasa sai niko mboka (machingching) Alidai nimsave nikamwambia okoka (okoka) Sasa sai sasa sai baby chora (haha) Amepiga magoti akiniface akiniomba (Yesu) Kuja sai kuja sai (Sai) But safari ni refu baby itabidi umengoja (ngoja ngoja) Na kiuno yusongesha ni kama nyoka (yu yu) Yupenda kucheza na anaconda (yu yu) Yumeza akitema kama cobra (yu yu) Nipe dome yeh hamind haimbother (ah ah) Anytime gyal uh wine na feel proper Pretty face thick thighs with your big bumper (Yees) Back it up mi uh give her Daddy Pumper With her slim waist akirotate kama chopper (uh haa uh haa) Baby baby joh mimi unanibamba Formula ni moja na ni kuifanya faster Niko high niko fly juu ya anga Weh ni goo-goo-gaga ndo maana bado unatamba Niko fly na mimi sina mabawa Nyama akigawa walai na kata kama panga Harder na shangaa kwani unapenda kusuffer Haga kwa toja amejaza nikama pampers Blunder, Mr. your Mrs. huniita master Wagwaan anapenda vako zangu za kirasta Bana warazi viberiti wanawashwa Sana ni siku saba hawajaoga bana (haha hahahaaa) (HAKUNA MTU YEYOTE, AMBAYE ANAWEZA KUJIDAI, KWAMBA TUKO KATIKA MIGUU YAKE, SISI TUTAWAKANYAGA NA MIGUU NAMNA HII) Venye wamekazwa ungedhani mimi ndo spanner Ati wamejam na wakiniona waugwaya Weh si mwanaume mamako alizaa msichana na unapenda kubonga kijana unapenda kujishasha Sina time ya umama mi ni EL MBUYU THE FATHER Jina ni kubwa kushinda ata Times Towers Unajichocha mjuaji lakini wewe ni fala Fanya rudi ocha unanuka tu kama danda Maisha ni densi nami ni rhumba na sakata pia na leta mchezo ya chess kwa hii ligi ya wababa Msupa ana class undercover hana haya Ikifika kuget the bag anadu whatever required Umeng'ang'ana na chura na akili ata hana ako streets chini ya maji hapa pale akirukang'a Kazi social media nikutingisha tu haga na usiku yeh hucheza kama escorts ya wababa Niliambia warazi watannikoma Pia pia pia njia tu ni moja (aah aah aah aah) Either colo ama kofi ntakuchoma (wewe) Nyi madanda nami nilishawasoma (wewe) Wamebonda juu dame zao niliwachota (haha) Inawauma zaidi juu nilikuwa nimesota (sota) Sasa sai sasa sai niko mboka (machingching) Alidai nimsave nikamwambia okoka (okoka) Sasa sai sasa sai baby chora (haha) Amepiga magoti akiniface akiniomba (Yesu) Kuja sai kuja sai (Sai) But safari ni refu baby itabidi umengoja (ngoja ngoja) Na kiuno yusongesha ni kama nyoka (yu yu) Yupenda kucheza na anaconda (yu yu) Yumeza akitema kama cobra (yu yu) Nipe dome yeh hamind haimbother (ah ah) Anytime gyal uh wine na feel proper Pretty face thick thighs with your big bumper (Yees) Back it up mi uh give her Daddy Pumper With her slim waist akirotate kama chopper (uh haa uh haa) Baby baby joh mimi unanibamba Formula ni moja na ni kuifanya faster Niko high niko fly juu ya anga Weh ni goo-goo-gaga ndo maana bado unatamba (haha hahahaaa) yeeah eyyy eey Ni Mbuyu, eeey, ahhh Na hii ni MAJOR....BEAT ALERT Yeah, yeah, yeah, yeah, YEAH!!!
Sanatçı: EL Mbuyu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi:
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
EL Mbuyu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı