elefel dundaa şarkı sözleri

Yeah... el... elefel Yeah check this Crush amepata kasponyo Nimelemewa na mbono Karao alipata nkiwatch ball akaniekelea bonoko ya ndom joh Cell nasuguliwa ngoto Nkikosa kitu mkono Mtaani nahepea zogo adi kwa mbogi ya kimonyoski ju nikiwa kwa dundaa Eeeeeh kazi apa ni kujirusha Shika kiuno msupa akizungusha presha inashuka Dudududundaeeeeeeh Form ni gani zinga shikisha na chupa Mamorio ka mi wakunywangi tunakushikilia ukidunda Chuchuchuchunga weeeeeeh Msupa husema ati fare ukituma hatakula Chocha na kumpiga lugha usitublame akikosa kukuja Dudududundaeeeeeh Piga mapichaka ni luku tumeuwa Kazi apa ni kuwakunywa toka kwa kichwa mpaka kwa mandula tukiwa kwa dundaa Ni mi L na uyu don Alma Kidole Cha Kati nikiona mbang'a Msupa ana figure ya chupa joh utadhani hips zimeundwa na protractor Niliomoka si unacheki kwa mziki niling'oa nanga Ianze sahiiBuda acha story za kesho unangojangaaaa? Kazana kusaka ganjiukikosa tulia tuli Kuhata leo si dhambi ja Mungu kesho hujui We nawe uko na kitambi na ati unafuliza kumiaaah Msupa analilia hatrick kichwa thutha na kapussy! Napenda kucheza lowlow Haga inatingishwa slow mo Nguna wa tao ama ghetto Kadem curvy mali Safi Sahii mi naishi solo Ganji zinipashe joto Life hii Kanai ka Stone Cold Ni kujikaza kibabii Bambii Nililelewa gishagi Shosh alinifunza one thing Kujipuuza ni dhambi So we ukikanyanga lami We jua ndani uko ka beast Unaeza fanya magic Geuze jasho iwe ganjii Eeeeeh kazi apa ni kujirusha Shika kiuno msupa akizungusha presha inashuka Dudududundaeeeeeeh Form ni gani zinga shikisha na chupa Mamorio ka mi wakunywangi tunakushikilia ukidunda Chuchuchuchunga weeeeeeh Msupa husema ati fare ukituma hatakula Chocha na kumpiga lugha usitublame akikosa kukuja Dudududundaeeeeeh Piga mapichaka ni luku tumeuwa Kazi apa ni kuwakunywa toka kwa kichwa mpaka kwa mandula tukiwa kwa dundaa
Sanatçı: Elefel
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:32
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Elefel hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı