eli maliki sema şarkı sözleri
Ooo ooo ooo ooo ooo
Ooo ooo
ooo ooo ooo ooo ooo ooo ooooooo!
Leo tuna cheka
Kesho tuna nuna, mbona unanitenga
Mrembo weee
We growing stronger
Then falling apart
I feel alive, when yo by ma side
Mmm mmm
Unasema unanipenda, iwaje wakumbusha
Mabaya nilotenda
Kwanini usisahau yote yalio pita tuanze mambo mapya
Unasema unanipenda, iwaje wakumbusha
Mabaya nilotenda
Kwanini usisahau yote yalio pita tuanze mambo mapya
Sema mama sema
Sema mama sema
Sema mama sema
Sema mama semaaaaa
Ooo ooo ooo ooo ooo
Ooo ooo ooo ooo ooooooo
Ujue mapenzi
Yana hitaji uwazi, tafadhali tushikamane
Nikikosa naomba unieleze
Lahazizi lemme know what's on yo heart
Usisikilize wote wasio jua wapi tulipo toka
Tetesi zisije kutenganisha kilatulicho Jenga
Usisikilize wote wasio jua wapi tulipo toka
Tetesi zisije kutenganisha kilatulicho Jenga aa
Sema mama sema
Sema mama sema
Sema mama sema
Sema mama semaaaaa
Sema mama sema
Sema mama sema
Sema mama sema
Sema mama semaaaaa
Sema mama sema
Sema mama sema
Sema mama sema
Sema mama semaaaaa
Ooo ooo ooo ooo ooo
Ooo ooo ooo ooo ooooooo
Ooo ooo ooo ooo ooo
Ooo ooo ooo ooo ooooooo

