elia malik shukurani şarkı sözleri
Ouuhhuh ouuhhuh ohuuhhuh Ouuhh
Asante mungu kwa mengi Ulionifanyia
Umenichagua kati ya wengi Ukaniokowa baba
Mara nyingi umenitowa kwenye Matatizo mabayaaa, mkono wako Ukanileta kwako baba
Kusema asante haitoshi
Sinaneno lakusema kwa huruma Wako
Umenitowa kwenye mahali mabaya
Ukanifuta machozi
Ohhhh yeahhh
Umenipa heshima
Ambayo adui zangu wanaona
Ukanitetea mpaka leo leo niwe Mzima x2
Shukurani baba kwa ulichofanya
Uwema wako ni amani yangu
Umebadilisha maisha yangu
Uniweka kwenye njia iliko sawa 2x
Hakuna anayeweza kupinga cocote Ulichosema
Hakuna mtu anayeweza kufanya Kama unachofanya
Umesema mkono wako sio mdogo
Una uwezo wakuponya kila Mgonjwa
Nikuabudu wewe mungu wa kweli Wewe
Kama kutafuta tulikuwa wengi
Hii leo ninafanya kazi nzuli
Tena warikufa wengi
Umenifanyia nipate amani
Umenipa heshima
Ambayo adui zangu wanaona
Ukanitetea mpaka leo leo niwe Mzima x2
Shukurani baba kwa ulichofanya
Uwema wako ni amani yangu
Umebadirisha maisha yangu
Uniweka kwenye njia iliko sawa 2x

