eliakim james zaidi ya yote (feat. mr. peace) şarkı sözleri

Zaidi ya yote wewe ni zaidi ya yote Zaidi ya yote wewe ni zaidi ya yote U mwemaa wewe Mungu mkuu wewe ni zaidi ya yote U mwemaa wewe Mungu mkuu wewe ni zaidi ya yote Mungu wetu ni zaidi ya yote Mungu wetu ni zaidi ya vile watu wanavyosema Ni mkuu kuliko miungu mingine yote Na ni njia pekee ya kwenda kwa baba Namwongelea mwana wa Adam Na wote wenye maskio ya kuskia na wamskie mwana wa Mungu Muumbaji wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana Maana yeye ni Mfalme Mbinguni Tena ni mfalme ambae wafalme huanguka mbele zake na kumwita mfalme Mungu wetu haelezeki Amewafikia ambao hawajawahi kufikiwa Amewaita wasio stahili na kuwastahilisha aliowaita Ni Mungu mwaminifu anastahili kuabudiwa Ni zaidi ya yote Zaidi ya yote wewe ni zaidi ya yote Zaidi ya yote wewe ni zaidi ya yote (mwamaa) U mwemaa (mwema) wewe Mungu mkuu (wewe yaweh)wewe ni zaidi ya yote (wewe ni mwema) U mwemaa wewe (wewe ni mwemaa) Mungu mkuu wewe ni zaidi ya yote Our God is more than what peoples say Our God is more than everything He is greater than any other god He is the only way to the farther Am talking about the son of men Let all that have ears to hear Hear the majesty of our Lord The creator of all things seen and invisible He is the king in heaven The king whom kings bow down and call him king Our God is indescribable Our God has done the impossible Reach unreachable and called unqualified and qualify the called He is the faithful God He deserve to be worshipped He is more than everything He is the alpha and omega You're more than what people say, ooh lord you are more than what people say You're more than what people say you're more than what people say eeh eeeh You are good you are wonderful you're you are more than what people say You are good you are wonderful you're you are more than what people say eeeh Zaidi ya yote (wewe ni zaidi) Wewe ni zaidi ya yote (ni zaidi ya fedha na dhahabu) Zaidi ya yote (ni zaidi ya wafalme wote) Wewe ni zaidi ya yote (Nasema wewe ni mwema) U mwemaa wewe Mungu mkuu wewe ni zaidi ya yote (Unatenda mambo makubwa) U mwemaa wewe Mungu mkuu wewe ni zaidi ya yote
Sanatçı: Eliakim James
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 5:29
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Eliakim James hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı