elias patrick usiyeacha nipotee şarkı sözleri

Nachagua kukushukuru, haijalishi ni wapi napita Ila naamini wewe upo nami Hujawahii niacha wala kunipungukia Majira Yote Nyakati zote Hujawahi niacha , Mi ninyauke Usiyeacha mi kunipenda Uondoaye baba majonzi yangu Usiyeacha niangamizwe Usiyeacha mi nipotee Usiyeacha , Nigharikishwe Usiyeacha , Mi nipotee Kwenye Dhoruba Utavuka na mimi Hata kwenye moto upo na mimi Kwenye Dhoruba Utavuka na mimi Hata kwenye moto upo na mimi Nitupwapo kwenye tundu la Simba We mtetezi wangu uliye hai Unifutaye machozi yangu Uondoaye Uchungu wangu Ufutaye machozi yangu Unipaye tumaini la milele Usiyeacha mimi nipoteee
Sanatçı: Elias Patrick
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:38
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Elias Patrick hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı