elisha wasaga suba dala şarkı sözleri

Aah aah ,Suba bor to nyiri beyo Najua nilisema siwezi penda Hiyo mate mi natema ameniteka Siwezi jizuia maji yashamwagika Kwa mama tutaenda tena mapema Iwe Mombasa tutaenda Kisumu tutaenda Mvua ama jua bado tutaenda I'll do what it takes There's a way she makes me feel hamuwezielewa It's okay if you can't see, hamuwezielewa Everyday I'm loved for free, hamuwezielewa We are locked but yet so free, hamuwezielewa Suba dalawa, nyakateri Suba dalawa Suba dalawa, nyakateri Suba dalawa Suba dalawa, nyakateri Suba dalawa Suba dalawa, nyakateri Suba dalawa Anamii hera na tena bila kusita Ukitaka na hela, mama pesa sio shida Vitenge tutamachisha, tukienda kanisa Ukirauka kufua nitaenda kulima I'll be always by your side tukisaidiana Wacha waongee usiku watalala But I'll do what it takes There's a way you make me feel hauwezielewa Vile nadekezwa like the king I am, hamuwezielewa Na vile ye husema babe here's your tea, hamuwezielewa When she's in my T-shirt I'm weak but strong, hamuwezielewa Suba dalawa, nyakateri Suba dalawa Suba dalawa, nyakateri Suba dalawa Suba dalawa, nyakateri Suba dalawa Suba dalawa, nyakateri Suba dalawa Suba dalawa Suba dalawa Suba dalawa Suba dalawa
Sanatçı: Elisha Wasaga
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:11
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Elisha Wasaga hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı