elizabeth ogumbo-regisford awete şarkı sözleri
Ah awete,
Maji ya sharubete☐
Ah I love you, But I want to kiss you☐
Kiss Kiss Kissoda,
Sitaki aliyekonda,
Nataka aliyenona! (x3)
Mmmmmmhh☐Ah awete, ah aweteeeeeee....aweteeeeeee
Lakini Awete,
Mbona hunitaki?☐
Ndiyo nimekonda,
Kweli sijanona...
Nimekupenda,
Ukaniruka,☐
Kwamba sijanona,
Kweli nimekonda.. (x3)
Ah awete,
Maji ya sharubete☐
Ah I love you,
But I want to kiss you
Kiss Kiss Kissoda,
Sitaki aliyekonda,
Nataka aliyenona!