fee nimfanyaje şarkı sözleri

Nimfanyaje, nimfanyaje Nimfanyaje, nimfanyaje Nakukumbusha ulisema Hayatakua kwa muda Tena ulikazia palee Nikikuwazia mema Moyo unaniuma Sio kwa ulivyonitenda oouuoh Mwili umechoka Akili imechoka Nafsi imechokaaaa Hata kukuambia navyojisikia kwako haina manaa Umeshanishusha unavyoniona kwako hadhi sina Nahenyeka me aah Unanitesa Nikiwaza kwenda mbali Nahisi kama nakuhitaji come on What's going on Nikifanya maamuzi Nikikuona nabadilika oh hapo hapo Najiulizaaa Nimfanyaje nimfanyaje Ananiumiza Me bado nampenda Ooooh ananiumiza,ananiliza Me bado nampenda Ninajiona mjinga Ninajiona sifaaai Najisikia vibaya aaah Na mambo unayofanya aah ni kama hukunijua aaah inaniuma aah Sitaki nijute Kukutana nawe Hata nizunguke ntakwona wewe Acha niumie moyo niuguze mpaka nitulie ooh mwenyewe Nikiwaza kwenda mbali nahis kama nakuhitaji come on wats going on Nikifanya maamuzi, nikikuona nabadilika oohh (hapo hapo) Najiulizaaa Nimfanyaje nimfanyaje Ananiumiza Me bado nampenda Ooooh ananiumiza ,ananiliza Me bado nampenda Nimfanyaje, nimfanyaje
Sanatçı: Fee
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:24
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Fee hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı