fee nisamehe şarkı sözleri

Nitapigwa hata risasi kwa ajili yako Nikatwe na miguu kwa ajili yako Kwetu geti kali, nitatoroka kwa ajili yako Nitagombana na mabestie kwa ajili yako Kamba ulionifunga ni zile zama nazikumbuka ah Na kama unavyojua hatukumalizia Sanda ushanivika navuta pumzi yanivujia wewe Na kama unavyojua hatukuhalalisha Ni wewe sio wale kumbuka alooh Nilikutizama hukunitizama, ukanipiga za usoni mmnh Nilale nisimame, homa ya moyo inanitafuna habari huna na hivi siku hizi sikuoni Nisameheeee Nisamehee Natanga tanga (mnh mnh) Nayeya (mnh mnh) Nakusumbua sumbua tu na ujinga wangu wa "I love you" Nisamehee Naomba ah Aah siwezi sema umenitenda bwana wee! Ila nachosema nakukumbuka Hata bila kupenda nakuachilia Mana ninaona ninaumbuka Ni wewe sio wale kumbuka alooh Nilikutizama hukunitizama, ukanipiga za usoni mmnh Nilale nisimame, homa ya moyo inanitafuna habari huna na hivi siku hizi sikuoni Nisameheeee Nisamehee Natanga tanga (mnh mnh) Nayeya (mnh mnh) Nakusumbua sumbua tu na ujinga wangu wa "I love you" Nisamehee Naomba ah
Sanatçı: Fee
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:17
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Fee hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı