femi one utawezana şarkı sözleri

Femi, ndo ule Mejja, ndo ule Mejja Si ulikuwa unadai kuchapiana naye Ishia ishia ishia (Ricco Beatz, Mr 808) Okonkwo pole nimekuja ghafla (Usijali) Ni vile we hukuwa umenibamba Aah Femi One pia kwangu we ni msoo Kwanza vile ulituosha kwa ile verse ya 'Ligi Soo' eeh Nakupenda manze we hukuwa mhumble (Asante) Legend, kwangu we ni icon Aah stori za icon kwanza weka mbali Femi One mi hukuwa nimekutamani Eeh, Okonkwo umeanza kunichocha (Ah zii) Nishow ni wapi uliniona Aah Femi One (Eeh) we unibamba Kwa Instagram nikicheki izo mapaja Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana) Nikikupea utawezana? (Nitawezana) Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbla Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana) Nikikupea utawezana? (Nitawezana) Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbla Iko haga yako iko Naipenda ka mke nyumbani na mwiko Mejja umeanza kuniflirt, aaah Unataka kunikula kama plata Hiyo kifua nataka kuichambua Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua ah Kidesign umeanza kunibamba Nikikupea usiende kutangaza Ah, hiyo ni siri (Wazi) ka pin number Sitaambia mtu sitaambia hata King Kaka Haina noma leo utanikula Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja (Aaah) Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana) Nikikupea utawezana? (Nitawezana) Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbla Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana) Nikikupea utawezana? (Nitawezana) Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbla Napenda machali wako na swagger (Okay) Nikicheki fashion yako hapana Femi One hao machali looku looku Ni looku tu lakini hawana kakitu Ah! Nataka kurombosa hadi chini Ah! Nataka kuikota huko chini Ah! Napenda kupakua nikiwa juu Ah! Siteti, napenda hiyo view Fungua bonnet (Okay) toa screw (Aha) Mbona unanidai na usiniambie uongo Ah! Nakudai juu umetoka ghetto Na we ni manzi hardcore manzi mathongo Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana) Nikikupea utawezana? (Nitawezana) Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbla (Ah! Femi Uno, mtoto wa Khadija) LYRICS PUBLISHED BY: PROMOTER MUSA
Sanatçı: Femi One
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:19
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Femi One hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı