fid q roho şarkı sözleri

Nilipommiss hakutokea, ili kunigea kiss au kuni-hug Hakuni-care huyu binti, aliendelea kunimwaga Sijawahi penda kama hivi lakini mapenzi yakaniditch Nilisurvive vipi sikumuita 1st love bitch Ninahisi.. nilipata vibe ya kuipa truth a facelift ‘ Haupati love bila michuzi hauna cash Fid Nikakesha ndani ya booth, huyu na yule ikawa 1st hit Show kila mkoa haikosi groupie kwa guest list Life ikawa poa.. lakini u-playa siuwezi Fid Sikufichi inaboa ile mbaya kuvaa jezi nyingi Plus hawara anapasha kitanda moto Na haifanyi upweke ukaniacha kiasi cha kumganda huyu mtoto Na kuimba mahaba niue.. with a smile on my face Haijalishi kama ana uzuri wa kumturn hadi Gay straight Mapenzi ni kama ‘ ligi ya mbuzi ‘ Striker anaweza potea Wengi wanawa-cheat na kuwaudhi wachache wanao-Play fair Mapenzi ni matamu lakini ninahofia kuumizwa moyo Nashindwa kujaribu.. roho inaniuma Roho inaniuma Roho inaniuma Roho inaniuma Roho inaniuma Roho inaniuma Ninahofia kuumizwa moyo, bila hata kupewa pole Dudu liumalo, kwanini nilipe kidole Ooh moyo roho inaniuma mie Dear hustle ni wazi penzi lako ni safi na huniacha happy kila wakati kubaki nawe ni kisamati baby Kipi sipati? ninahiti kwa chati, waliotashtiti mziki haunilipi,wako wapi? waniache, mkate nipate baby Money makes a man, lakini love ni hustle You know who you love but you don't know who love’s you Wakuniletea Baraka kama Michelle Na Tabasamu zaidi ya wafungua mlango wa 5 star hotel Dawa sio chungu ndugu.. chungu maradhi Haki ya mungu tena, chuki humchoma anayeihifadhi Kumsahau siwezi ni sawa na kumkumbuka nisiyemjua Mapenzi yalifanya nikaumbuka ninachoshukuru hayakuniua Mapenzi ni matamu lakini ninahofia kuumizwa moyo Nashindwa kujaribu, roho inaniuma Roho inaniuma Roho inaniuma Roho inaniuma Roho inaniuma Roho inaniuma
Sanatçı: Fid Q
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:24
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Fid Q hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı