g bouy njiwa şarkı sözleri

G BOUY Aaa Aaa G BOUY Aaa Aaa Aaa Aaa mmm PeNzi analo nipa Kamoyo kangu kana Duda Haka sukumi damu Kana sukuma lake pendo Wenzake wana mpa sifa Kwani kasoro naye hana Sili nisipo Muona chakula kina Kosa ladha Oh na salii Nomba mola atu lindee Tue pushe na mbaya Tuwe ngari ngari Penzi tamu Asali Maana wanipa rahaa Mwingine Sitamanii Nalithia na we aa Kama njiwa ni pepee aa Kwa pezi ni lewe aa We ndo wangu peke aa Na kupenda aa Kama njiwa ni pepe aa Kwa penzi ni lewe aa We ndo wangu peke aa Na kupenda aa Ukiniondoka Nitambaki na nani nitaumia We wangu dawa nikiugua Wanipa tiba Mabawani wanifichaficha Wambaya wasije niona Mi mwepezi ka pamba Pamba penzi la nimaliza Wanasema umeniroga Wacha wambaki kusema Mi nawe tunaendana Kwa shiringi twa fanana Huenda sina Mali Ya kukupa wewe Ila moyoni mwangu Njua daima ni wewe aa Kama njiwa ni pepee aa Kwa pezi ni lewe aa We ndo wangu pekee aa Na kupenda aa Kama njiwa ni pepee aa Kwa pezi ni lewe aa We ndo wangu pekee aa Na kupenda aa
Sanatçı: G BOUY
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:41
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
G BOUY hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı