g nako mwaga şarkı sözleri
Yeah yeah! Woyooo!
Yeaaaaaaah!
Baby Mwaga, (aiiii)
Baby Mwaga (aah)
Mwaga mazagazaga,
Juu ya meza,
Zagadat...zaga what?
Okay kwanza me nakutaka,
Touch anakutaka,
Brrdan anakutaka,
Eh tutazichapa,
Hapa nguvu ya Pesa,
Ama nguvu ya jina,
Mama leo kisabato vipi nyie mnyama,
Huku kuku wanaliwa,
Huku watu wanaliwa,
Eh eh bata wanaliwa,
Oh mama mia,
Huku peleka miwa pale peleka ngano
We toka bunju njoo sinza mapambano,
Siri za bar weka chini hapa,
Tupo hapa utatuacha hapa,
Hapa...hapa eeeeeh!
Mr Dj me nishalewa,
Alafu we mwenyewe me nakuelewa,
Vizuri vimeumbwa na menaelea,
Alafu hiyo ngoma unaweza rudia
Mr Dj me nishalewa,
Alafu we mwenyewe me nakuelewa,
Vizuri vimeumbwa na menaelea,
Alafu hiyo ngoma unaweza rudia
Give me another shot,
Nipe another shot,
Give me another shot,
Nipe another shot
Samahani wewe dada uliyevaa kataiti,
Sijui unaitwa nani ila mali safi,
Njoo karibu ebu achana na touchi,
Tushushe mitungi kisha ifuate mikasi,
Baby nataka kususu (kituo cha mbele)
Baby nataka unikisi (haina kelele)
Mimi nataka kumwaga mazaga zaga,
We unataka mapizza mabaga baga,
Anh! On to the next one,
Touch with another one,
Kila chocho la bata ni vibe tu maburudani,
Huku G pale mnyama Mr Brrdani,
Vitu vingi hata sielewi nani ndo nani ndani!
Mr Dj me nishalewa,
Alafu we mwenyewe me nakuelewa,
Vizuri vimeumbwa na menaelea,
Alafu hiyo ngoma unaweza irudia
Mr Dj me nishalewa,
Alafu we mwenyewe me nakuelewa,
Vizuri vimeumbwa na menaelea,
Alafu hiyo ngoma unaweza irudia
Give me another shot,
Nipe another shot,
Give me another shot,
Nipe another shot
Siri za bar weka chini hapa,
Tupo hapa utatuacha hapa,
Hapa...hapa eeeeeh!