g nako tusipangiane şarkı sözleri

Chui, waraaa ooh nono ooh nono Tusipangiane,tusipangiane Una life lako nina life langu tusipangiane Kwani wanateseka wakiwa wapi? Wanateseka wakiwa wapi Kwani wanateseka wakiwa wapi Wanateseka wakiwa wapi? Tumeshaachana bwana weeh emb toka Maswali ya upo poa umekula umelala Kwani we ni doctor ? Tumeshabwagana bwana weeh we ondoka Maswala ya kunitisha utaona,utajuta we msoma nyota Ooh lolo loo Live your life as i live my life Basi pita kushoto live your life Unajifanya huoni eeeh? Inakuchoma unajikaza Unajifanya huoni eeh? Wakati ukisinzia unaniwaza Mnaonifwatilia mtakufa presha Kila siku zinazidi pesa Wachawi tunapishana mi nimeshasepa Maana mkija kuwanga mi nipo nakesha Tusipangiane,tusipangiane Una life lako nina life langu tusipangiane Kwani wanateseka wakiwa wapi? Wanateseka wakiwa wapi Kwani wanateseka wakiwa wapi Wanateseka wakiwa wapi? Eti laniloga kanishika akili simuachi Kanipendea pesa wanga hiyo ndio hamtaki Haya mpe mama pesa,, pesaaa Mwongeze pesaaa, Mpe na gari, pesaaa Wakafe na preshaa,preshaaa Oyo oyo oyo oyo Na nikukuhonga nyumba je watakomaje? Maisha sio darasa na wewe sio mwalimu Watakupapasa utajikuta kuzimu Yaani wee google google, google Wajua kila kitu Fuko fuko fukunyunyu kila siku Tusipangiane,tusipangiane Una life lako nina life langu tusipangiane Kwani wanateseka wakiwa wapi? Wanateseka wakiwa wapi Kwani wanateseka wakiwa wapi Wanateseka wakiwa wapi? Live your life as i live my life Basi pita kushoto live your life Live your life as i live my life Basi pita kushoto live your life
Sanatçı: G Nako
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:53
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
G Nako hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı