g ndezy dance şarkı sözleri

Let's dance Hakuna kulala Leo mpaka kuna kucha Let's dance Twende kushoto kulia Inama kidogo and dance Achia ukuta njoo kati ucheze Huku ukitikisa lako weze Jiachie just get busy Uondoe stress Kamata kiuno kilicho legea Wanavyo twerk mpaka Kamatia kama vile chawa And dance Kunywa pombe uongeze vaibu Jiachie usione aibu Sahau zile zako zote tabu Now relax dance upo ndani ya club Usinifokee hujaninulia bia Usinifokee kwani mi nimekubania Usinifokee tafuta wa kumbambia Njoo tucheze tena kamia Let's dance Hakuna kulala Leo mpaka kuna kucha Let's dance Twende kushoto kulia Inama kidogo and dance Mr dj hii ngoma replay Kama vinywaji teyari tusha pay Ukitaka dem usiulize bei Just cheza utampata today Sahau shida zote cheza mpaka chini Hata kama umevalia kimini Onyesha uwezo viungo vyako laini And cheza kwa makini Onyesha uno alilokupa mama Nyonga mpaka chini kwa sana Usinifokee hujaninulia bia Usinifokee kwani mi nimekubania Usinifokee tafuta wa kumbambia Njoo tucheze tena kamia Let's dance Hakuna kulala Leo mpaka kuna kucha Let's dance Twende kushoto kulia Inama kidogo and dance Mashetani yashanipanda Leo mpaka mida ya wanga
Sanatçı: G Ndezy
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:58
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
G Ndezy hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı