g ndezy maumivu şarkı sözleri
It's G Ndezy
Ulinifunza kucheka
Ulinifunza kulia
Ulinifunza kujaribu
Pale nilipotaka kata tamaa
Ulinifunza kupenda
Pasipo wewe kukutenda
Ulinifunza kujali
Kukujali wewe tu my love
Huwezi kubishana na moyo utulie
Huwezi kubishana na moyo utulie
We ndio dawa yangu baby
We ndio dawa yangu baby
Chunga kipenzi changu
Baki na mimi
We ndio kidani changu unithamini
Chunga kipenzi changu
Baki na mimi
We ndio kidani changu unithamini
Inauma inachoma
Inauma sana
Uliempenda kukutenda
Inauma inachoma
Inauma sana
Uliempenda kukutenda
Basi naona imetosha
Haiyaiyaiya (Wewe)
Basi naona imetosha
Haiyaiyaiya (Baby)
Basi naona imetosha
Haiyaiyaiya, haiyaiyaiya
Haiyaiyaiya
Nimekuwa mfa maji
Naishia tu kutapatapa
Naona bora nife
Kuliko hizi tabu ninazopatake
Ukanifanya kama dampo
Taka unitupie yee
Kumbuka vyako vi apo
Utakuwa wangu mie
Kumbuka vyako vi apo
Utakuwa wangu mie
Dharau na matusi yako
Hukunijali mi mwenzako baby
Dharau na matusi yako
Hukunijali mi mwenzako baby
Moyo wangu umekuwa mpweke
Sijui nini niuwekee
Ili utulie bila wewe usiteteleke
Nalia naumia baby
Yote chanzo ni wewe
Nalia naumia baby
Yote sababu ni wewe
Julira julira baby
Yote chanzo ni wewe
Julira julira baby
Yote chanzo ni wewe
Basi naona imetosha
Haiyaiyaiya (Wewe)
Basi naona imetosha
Haiyaiyaiya (Baby)...