g ndezy tunapendana şarkı sözleri
Can you feel this
Ilikuwa kama utani tu Nilipo muona
Moyo ulishtuka sijapata ona
Mtoto mzuri alie jaa kila kona
Sura shape jinsi alivyoshona
The way she smile ago lose my mind
Akitembea ana course the wind
Vimacho uwizi kama nandy
I swear to God atani brandy
The way she smile ago lose my mind
Akitembea ana course the wind
Vimacho uwizi kama nandy
I swear to God atani brandy
Tunapendana
Mi na yeye milele na milele iyee
Tunaendana
Niacheni niwe wake wa kwake pekeake
Tunapendana
Mi na yeye milele na milele iyee
Tunaendana
Niacheni niwe wake wa kwake pekeake
African Queen umenibamba
The way you shake your bambam
Njoo twende sambamba
Nimwagilie shamba
Napenda unavyofanya nafurahi
Maana hata sikumoja sikuwahi
Huko nyuma nlikotoka hakufai
Asante Mungu kakuleta nafurahi
The way she smile ago lose my mind
Akitembea ana course the wind
Vimacho uwizi kama nandy
I swear to God atani brandy
Tunapendana
Mi na yeye milele na milele iyee
Tunaendana
Niacheni niwe wake wa kwake pekeake
Tunapendana
Mi na yeye milele na milele iyee
Tunaendana
Niacheni niwe wake wa kwake pekeake
It's G Ndezy
Whats up Fk
FK shoes