gabby rnb haiwezekani şarkı sözleri
Ungeugusa moyo wangu
Uone unavyodunda
Na wewe ndio furaha yangu
Wapi ulipo kwenda?
Siwezi tena pekeyangu
Ooh baby
Pembeni ya kitanda changu
Nipatupu
Yeyee
Nimezoea tukilala
tunavyo share ndoto
Leo nikiamka
Napapasa mito
Kua mbali na mpenzi wangu
Kwangu kazi nzito
Naomba mumy rejea
Naomba mumy rejea
Hata sioni wa kunipa Mimi furaha
Hata sioni wa kunipa Mimi furaha
Haiwezekani
Kuishi bila penzi lako
Honey, nitakuweka ndani
Nimeridhika na upendo wako
Ndani,haiwezekani
Kuishi bila penzi lako
Honey, nitakuweka ndani
Nimeridhika na upendo wako
Honey
Oooh
Kwa hali yoyote
Me nataka uelewe
Nitafanya lolote
Ilimradi nibaki na wew
Nataka nibaki na wewe
Ni enjoy maisha
Bora vyote nisipewe
Penzi lako tosha
Tosha
Nimezoea tukilala
Tunavyo share ndoto
Leo nikiamka
Napapasa mito
Kua mbali na mpenzi wangu
Kwangu kazi nzito
Naomba mumy rejea
Naomba mumy rejea
Haiwezekani
Kuishi bila penzi lako
Honey, nitakuweka ndani
Nimeridhika na upendo wako
Ndani, haiwezekani
Kuishi bila penzi lako
Honey, nitakuweka ndani
Nimeridhika na upendo wako
Honey
Oooh yeah
Oooh... yeah
Oooh uah
Haiwezekani
Nitakuweka ndani
Haiwezekani
Nitakuweka ndani
Nimeridhika na upendo wako