gabby rnb najihisi mfalme (feat. p mawenge) şarkı sözleri

Bila penzi lako Nahisi ningalipoteaga zamani tangu niwe wako Ni mengi umeniteteapo Ndio nikajua thamani yako baby Najihisi kama mfalme Unavyo ni handle Najihisi kama napaa (paa..) Na ninahisi sistahili huo upendo Unaonipa ma (maa..) Baby baby baby nguganile fijo Ooh oouwah Kama ajali mbele ya safari Mimi kwako naona fahari Kama ajali mbele ya safari Mimi kwako naona afadhali Ona Sina hata Mali Sina hata gari Ila uko radhi unibebe Twende hata mbali hauchoki na Mimi You know am Crazy for you Kwa yote niliyokufanyia Mabaya ya dunia Bado unanikumbatia Na kunikiss kiss shavuni Najihisi kama mfalme Unavyo ni handle Najihisi kama napaa (paa...) Na ninahisi sistahili huo upendo Unaonipa ma (maa...) Kama ajali mbele ya safari Mimi kwako naona fahari Kama ajali mbele ya safari Mimi kwako naona afadhali Japo najua si Mimi niliyekutoa bikra Tangu mwanzo mpaka hapa tulipo fika Nilishakukera vingi na ukakasirika Na hukujali Bado msamaha ukanipa Mbele yako me nahapa kwa uhakika Mimi kwako sitoki nimeshafika Nikiwa nawe najihisi nimeridhika Najiona kama nimeshushiwa malaika Nipende baby nishike nisipotee Na uniambie wapi haujaridhika nikuongezee Kama pamba baby nitakuvisha utokelezee Nikina nani wanabisha tuwaoneshe aah Mpaka nikajitusu kushika biki Ili nioneshe wazi baby umenishika vipi Kweli nitadumu nawe na siji kukusaliti Natani dunia nzima wotoke tubaki sisi Na nahisi sistahili huo upendo Unaonipa maa (maa..) eeh Kama ajali mbele ya safari Mimi kwako naona fahari Kama ajali mbele ya safari Mimi kwako naona afadhali Na nahisi sistahili huo upendo Ooh Unaonipa maa (maa...) eeh (Maa...)
Sanatçı: Gabby Rnb
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:52
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Gabby Rnb hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı