gabby rnb nenda şarkı sözleri
Uyee ooh oh yeah
Uyee uyee mmh
Sikupenda maisha yangu
Nilikupenda wew
Mavazi yenye urembo nilikuvisha wewe
Aah aah sawa we nenda
Sikutembea Maeneo yote
Ulitembea wewe
Vyakula vya ghalama ulikula wewe
Aah aah sawa we nenda
Pia maisha yakunyokee mpenzi
Upate mtu wa ndoto zako
Aah aah sawa we nenda
Na upepo ukivuma ukuvumie wew
Ule upepo mwanana ukupulize wewe
Na lichomozapo jua likumulike wewe
Na kivuvuli mwanana kikufunike wewe
Aah aah ooh eeh eiya
Aah haiya aah aah
Ukitembea hatua tatu niombee
Kwani mimi nakuombea
Piga japo simu tuongee
Dakika hata tatu tu me nitaridhika
Wenye nazo ni wengi, Ila hawana mapenzi
Hivyo naomba unikumbuke we
Aah aah sawa we nenda
Pia maisha yakunyokee mpenzi
Upate mtu wa ndoto zako
Aah aaah sawa we nenda
Na upepo ukivuma ukuvumie wew
Ule upepo mwanana ukupulize wewe
Na lichomozapo jua likumulike wewe
Na kivuvuli mwanana kikufunike wewe
Uuh
Mmh
Uuh
Mmh
Mmh
Aah
Uuh
Pia maisha yakunyokee mpenzi
Upate mtu wa ndoto zako
Aah aah sawa we nenda