gabby rnb nisikilize şarkı sözleri
Ningeweza kukupa dunia, uishi mwenyewe (mwenyewe)
Watu wake viumbe pia, u-umbe mwenyewe (mwenyewe)
Najua haiwezekani, dunia inamengi my child
Unaocheka nao, wabaya hao, wata kuumiza
Watakuuza mtaani, kwa kukidhi shida zao (oh,oh,oh)
Hata uwape upendo gani, utabaki na mshangao
Watakuuza mtaani, kwakukidhi shida zao
Hata uwape upendo gani, utabaki na mshangao
Mwanangu nisikilize
Mwanangu nisikilize
Mwanangu nisikilize
Mwanangu nisikilize
Tena mwanangu
Mwanangu nisikilize
Mwanangu nisikilize
Usibebeshwe hisia nzito kwa chuki
Utazopewa oh, mwana, oh, mwana
Linda moyo wako, salama
Ujenge upendo sio chuki, sio chuki
Watakuuza mtaani, kwakukidhi shida zao
Hata uwape upendo gani, utabaki na mshangao
Watakuuza mtaani, kwakukidhi shida zao
Hata uwape upendo gani, utabaki na mshangao
Mwanangu nisikilize
Mwanangu nisikilize
Mwanangu nisikilize
Mwanangu nisikilize
Tena mwanangu
Mwanangu nisikilize
Mwanangu nisikilize
Mwanangu nisikilize