gabby rnb paradise (feat. zaiid) şarkı sözleri

Mmh, hey! hey! Ooh! ooh! Jioni ilishafika baby aah! Jua limeshazima Sasa, ili Upendo wetu utumulikie eeh Tumesubiri Sana baby ooh! Wakati wetu umefika, na mapenzi yetu ya barakiwe (eeh) Sogea karibu na moyo wangu usike Sauti ya upendo ooh Paradise paradise I wanna take you to paradise Vile tuna shine tuna shine All the way Paradise paradise I wanna take you to paradise Vile tuna shine tuna shine Ooh Me Nina amani, hata ukiniona usoni Furaha gani hata kwa mwingine sioni Nimejawa na furaha, siku nyingi nimeshasahau karaha Kutwa kushinda na njaa, kutwa kukuwaza we mamaa Ukianiacha nita paralyze, baby twende wote paradise Fungua mlango me drive, kwenye gari la mapenzi lisianguke me ni faidi Mtoto umeumbika, aah Unapenda bakora vile natandika aah! Umeridhika aah! Unanishika aah! Me ndio huduma ya kwanza Umezimika aah! Twende Dar es salaam mwenge Tukasalimu wazazi Na tukitoka huko, tuka salimu washikaji aah! Wait a minute, unataka nini? Nitaenjoy kukupa mimba Na kukupeleka clinic aah! Paradise paradise I wanna take you to paradise Vile tuna shine tuna shine All the way Paradise paradise I wanna take you to paradise Vile tuna shine tuna shine Ooh Nataka more and more More from you and you alone Nakutaka wewe tu, wewe tu bby Nataka more and more More from you, and you alone Nakutaka wewe tu hey hey hey Paradise paradise Eeeh hey hey Vile tuna shine tuna shine Paradise paradise Vile tuna shine tuna shine I wanna take you girl
Sanatçı: Gabby Rnb
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:26
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Gabby Rnb hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı