gabriel manase hakuna noma şarkı sözleri
Kama ukiniona nafurahi
Jua ni jah ka bless
Na ukiniona najidai
Jua ni jah kabless
We here today
Uko tulipotoka
Tulishaga dondoka
Asaivi tupo okay
We here today
Wala hatujawahi choka
Waliodhani tutasota
Saivi ndo hawana say
Hakuna noma
No kisirani
Mwendo wa burudani
Yeah yeah yeah
Ushanisoma
Kama kucheza uwanjani
Unamwogopa nani
Yeah yeah yeaaaah
Wacha waonge
Si tunalidwa na baba eh
Ayeah ayeah
Atachushereke
Stress mawazo badae
Aye aye
Leo party after party
Leo party after party
Binadamu hawakosi cha kusemaa
Hata ukiwafanyia jemaa
Bado watakukosea tena
Na mungu baba kanipangilia mema
Kanipa pumzi na neema
Nami naiona nyota njema
Hakuna noma
No kisirani
Mwendo wa burudani
Yeah yeah yeah
Ushanisoma
Kama kucheza uwanjani
Unamwogopa nani
Yeah yeah yeaaaah
Wacha waonge
Si tunalidwa na baba eh
Ayeah ayeah
Atachushereke
Stress mawazo badae
Aye aye
Leo party after party
Leo party after party

