galaxy ikanda hakuna matata şarkı sözleri
Galaxy
Mwana wa ikanda
Ehh! Ehh!
Niko na wewe tulia
Niko na wewe tulia
Niko na wewe tulia
Niko na wewe tulia
Acha ujidai
Unachotaka nikupe ee
Mpaka ufurahi
Penzi lisishuke ee
Coz loving loving you
Please loving loving me
Sote tuwe juu
Coz loving loving you
Please loving loving me
Sote tuwe juu
Niko na wewe tulia
Hakuna matata aa
Niko na wewe tulia
Mpenzi ondoa shaka aaah
Niko na wewe tulia
Ili mladi ushanipata as
Niko na wewe tulia
Bado tuna peta as
Niko na wewe tulia
Niko na wewe
Niko na wewe tulia
My sweet red wine
We gonna make good time everywhere
Jiachie Uko na mimi
Hakuna wakukunyemelea
Coz loving loving you
Please loving loving me
Sote tuwe juu
Coz loving loving you
Please loving loving me
Sote tuwe juu
Niko na wewe tulia
Hakuna matata aa
Niko na wewe tulia
Mpenzi ondoa shaka aa
Niko na wewe tulia
Ili mladi ushanipata aa
Niko na wewe tulia
Bado tuna peta aa
Niko na wewe tulia
Hellooo!
Kwa nini hujani pigia simu tangu asubuhi?
Apana mpenzi wangu simu haikua na na na na credits
Ina maana kila siku lazima mi nikutafute wewe?
No no noo!
Nimechoka
I'm so sorry
I'm sorry bby
Hello!
Hello!
Ohh shit!
Niko na wewe tulia
Niko na wewe
Niko na wewe tulia
Niko na wewe tulia
Hakuna matata aa
Niko na wewe tulia
Mpenzi ondoa shaka aa
Niko na wewe tulia
Ili Mladi ushanipata aa
Niko na wewe tulia
Bado tuna peta aa
Niko na wewe tulia