galaxy ikanda ona şarkı sözleri
I believe
We ndo ubavu wangu
Niotapo Paradise
We ndo pepo yangu
Usivunje lengo
Jali upendo
Usinitupe mbali
Ohh ohhh ohhh
Ohh ohh ohh
Nipoke
Unipe chance mama
And I promise nitailinda sana aa
Be my lover
I wana be your love
Sio kiutani girl
Ohh ohh ohhh
Ohh ohh ohh
Usionyeshe zarau
Pendo halitoisha ham
Wala sitokusahau
Moyo ukivuja dam
We utabaki tu
Hautotoka mama
Utabaki ndani ya roho
Ona
Bby Ona
Upendo ulivyo jaa
Naukabizi kwako mine
Uwe mine
Kwetu iwe furaha
Fumbua macho Ona
Bby ona
Upendo ulivyo jaa
Naukabizi kwako mine
Uwe mine
Kwetu iwe furaha
And I know
Umebarikiwa sanaa
Kuanzia roho mpaka nyama
Ndo vyazidi nichanganya
Your my beautiful
Usinitenge now
Usinitese roho
Ahh ahh ahhh
Ahh ahh ahh
And I'm crying for my love
Na wewe kwangu ndo ubavu
Wasikufanye chakavu
Nitakulinda kisoja aa
Ohh kisoja aaa
Beautiful
My beautiful
Ahh ahh ahh
Ahh ahh ahh
Usionyeshe zarau
Pendo halitoisha ham
Wala sitokusahau
Moyo ukivuja dam
We utabaki tu
Hautotoka mama
Utabaki ndani ya roho
Ona
Bby Ona
Upendo ulivyo jaa
Naukabizi kwako mine
Uwe mine
Kwetu iwe furaha
Fumbua macho Ona
Bby ona
Upendo ulivyo jaa
Naukabizi kwako mine
Uwe mine
Kwetu iwe furaha