gannaoftales umeniloga şarkı sözleri
Staki mchecheto mapenzi ya ghetto niliacha utoto Nana
Kama carlito mapenzi mpito kwangu mi mwiko Nana
Kichuna cha ndoto kwake ni mento nacease kama pono nana
Lala unono staki lumbana jirani miguno Nana
Staki jinai utamu wa penzi schoki udai
Hips don't lie nampenda huyu shore skatai
Nne tano haikai nikimkosa nahisi na die
Wengi hawajui kitambo pamoja kama bega na ndui
Walitaka uniacha hukujali lolote ukaniganda kama kupe
Mashoga wakusute alolo apeche ukitaka nisepe
Nikaacha vicheche ukasema asante ukanikanya na dope
Leo pamoja Kwa nguvu ya hoja kama mvua na tope
Penguin the rapper kwenye mapenzi I'm ready to die
Twende Dubai twende Bombay ama Shanghai
Umenipa divai iweje nikuone haufai juu kama Tai alshedai wanga hawakai hawakai hawakai.
Nimedata haki ya Mungu niko nyang'anyang'a
Nimedata haki ya Mungu niko nyang'anyang'a
Nimedata haki ya Mungu niko nyang'anyang'a niko nyang'anyang'a niko nyang'anyang'aaaa
Umeniroga,umeniroga,umeniroga mpenzi wangu umeniroga
Umeniroga,umeniroga,umeniroga mpenzi wangu umeniroga
Zunguka mkuti kwako kuruti Kukupenda sijuti daily vichekesho kama Joti
We shela mi suit nitakupenda kama babu na koti
Siwezi dilute nikikukosa siwezi delete
Najificha Kwa Rose waridi nasikia baridi nana ana swagg na pozi amenipenda kusudi nana
Hana chuki na Jealous nikichelewa kurudi nana ananihundle Kwa kisses kumpenda naongeza juhudi
Sitaki teseka mapenzi ya kuhuni Naoa naweka ghetoni
Kama mieleka nafurahi kifani nampa vidani shingoni
Haters Cheka nazidi kuruni mapenzi hadharani jamani
Sio mbabe kama Cheka naweweseka napenda unadeka Jamani
Sina soni Dadae Gaga naruka nawe Saga cheza kidogo waka
Napenda unavyochekaga
Bolingo nangai Nana
Panya kaloa anazuga unampenda Relai nana
Kwenye yoga huna woga woga
Nimedata haki ya Mungu niko nyang'anyang'a
Nimedata haki ya Mungu niko nyang'anyang'a
Nimedata haki ya Mungu niko nyang'anyang'a niko nyang'anyang'a niko nyang'anyang'aaaa
Umeniroga,umeniroga,umeniroga mpenzi wangu umeniroga
Umeniroga,umeniroga,umeniroga mpenzi wangu umeniroga
Penguin the rapper kwenye mapenzi I'm ready to dieeee yeeeah yeaaah