garvin mungai terry (feat. kasunje) şarkı sözleri
Yeah, yeh
Uhhh, yeah yeh
Yeah, yeh, yeh
Nikilitaja jina lake Terry
Sauti yake nyororo very
Maybe its the way she smiles at me
Maybe its the way she looks at me
Kusema ukweli ninavyopelekwa ninazimia
Terry, Terry, Mi nimekudedi
Terry, Terry, Mi nimekudedi
Nampenda mpenda nani Terry
Nampenda mpenda nani Terry
Nampenda mpenda nani Terry
Nampenda mpenda nani Terry
Rangi yake ya mwili, melanin so dark
Macho yake kwa kweli, yanimaliza
Shepu yake ya mwili, Vera Sidika
Na anavyotembea, mwendo kinyonga
Juu kamoyo kanidundadunda
Jina lako nikiskia you girl
Najawa sana na furaha
Juu ya mapenzi unayonipa woman
Kwako mimi taabani
Sikwachi na si utani
Terry you're my dumebi
Forever, my only lady
Nampenda mpenda nani Terry
Nampenda mpenda nani Terry
Nampenda mpenda nani Terry
Nampenda mpenda nani Terry

