geng genge sema alo şarkı sözleri
Morio najua sai uko mavitu tu
Ukishika io tenje uko kapuka tu
Unanicheki nakucheki ukiluku boo
Ju genge ndiyo chuma vurumisha mtu
Zimeshika zimewaka zimenice
Buda sema Alo, buda tema Alo
Buda nena Alo, Alo morio penda
Songa kando na uwashe io candle
Ju kuna giza flani nadai nidismantl
Kwa majina ni kijana tu mhumble
Lakini chini ya maji napenda malove handle
Sare kutoa njeve na hizo bundles
Tafuta netflix na kadem ndo mcouple
Ongeza volume ukianza kuhandle
Kuna venye kameweza atakama ni sample
Tunagroove kikutu namshika anaburn
Make moves my boo mi si wale wa haram
Sijapiga hadi njugu na manduru zimeland
Unasepa kichwa sugu piga reference kwa mbuyu
Wera zangu za uzani nazicheza na mandugu
Na majani kejani ndo niwe mbali na mazuzu
Unateka huyo mami kitandani ye ni punju
Vile umepiga luku ana tema manugu
Mr plug ndio king kwa hii sacco
Niite og mi ndo pedi wa kitambo
Ndo ukidai beef unaweza toa diss
Na ukidai kiss bado mi naitwa prince
Cheki dame yako wangu ana quin genes
Basi cheki hio story piga diss miss
Umekam na kikoro tunaweza get lit
Niko bash ukitaka buda washa niko jing
Zimeshika nimewaka tuanze lip sing
Izi vitu za usoro zilete feeing
Kumba haga ya toto tucheze viking
Baadae saa zikclock mpige missing
Nikupeleke kejani upike mince meat
Na bado tupige doz nianze beating
Alafu kidogo jo apige white ju chini
Napiga hustle daily kila siku ya wiki
Sema alo
Morio najua sai uko mavitu tu
Ukishika io tenje uko kapuka tu
Unanicheki nakucheki ukiluku boo
Ju genge ndiyo chuma vurumisha mtu
Zimeshika zimewaka zimenice
Buda sema Alo, buda tema Alo
Buda nena Alo, Alo morio penda