genge actors mandonga şarkı sözleri

Niko juu ya Biz Kamsomali kule Eastleigh Blood Sweat Tears, boss, na misilii Hata Miss haaniachiliii Juu napiga weka hadi anasema Pliz boss I gat 2 pee Kisha na wikaa UGH kama Masta P Hio ndio siri ya kuiishi happily Weh uko heppi kama hippi Kwa club yes, Absolutely Na hio vodka imefanya umefuliza uka chokorwa Pochi POOF umeporwa Ndio huyo wewe kwa madhee eti nimerogwa Unafaa Kibarree ya TB Joshua Pengine hizo Shetani zitakutoka INJINIA kwa mic check na nimeondoka MANDONGA Niko na keys to the city Mazee huskii naitwa Wakili Cheza nami si shikiki Mi na ma chiz tumewasili Tuchape bizz sifilisiki Ingiza ma cheese ndo Riziki Ona mageez kujiamini Kutatiz serikali kula mandiz ina madini Usijibiz ukiwa na mimi Mandonga deez nuts kelele Lakini pigwa plow na mgenge Naleta chira kwa wasenge Napea mimba kwa wangede Naelea kaa upele Hutawai kuwa ready Hutawai kuwa steady Niogope kama Freddy Juu nakam hiyo Friday Ntakuhuslte kama pedi Hutajigamba on my payday Niko na keys to the city Cheza na mi sishikiki Mi na ma chiz tumewasili Heavyweight kwa streets Mandonga The beats! Bado shit nita bonga Punchlines deadly soaked in the illness Breeathe, daktari na stethoscope Dope money na power nina both If lyrics make sense! Mbona Uko broke Your chic, Saxophone for deez nuts Tarumbeta straw na flute hahaha Clifford Ombeta I draw and shoot Across the bar bila was was Dirty money ME siko wash wash Ambia DJs ME Babu Owino Yooooh my record better spin off If not nakung'oa hadi jino I'm a dick head nickname kiino The one, tripple O G niite Kilo Chairman, Barzenga Mzito
Sanatçı: GENGE ACTORS
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:52
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
GENGE ACTORS hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı